naona unawawaza sana mkuu kwani wamekufanyaje? Umepanic hadi ukakosea kuandika pole aisee. Ukiona wanakusumbua chukua darasa la saba. Ahahaaa
Ninachowaka Watumie Elimu Zao Vizur Na Si Umalaya Walioendekeza, Cha Zaida Fuatilia Mambuki Ya H I V Kwa Madada Vyuo Vikuu.
Usomi na umalaya havihusiani hata kidogo....hakuna uhusiano kabisaaa....
kwanza fanya editing ya kazi yako na siku nyingine soma ulichoandika ili kujiridhisha na makosa ya kiuandishi. Kwani wewe elimu yako ni ya kiwango gani hadi uwatamani kina dada waliograduate? Na aliyekuambia wote ni wazinzi ni nani na kwa utafiti upi? Na ni nani anayekusukuma kutaka kuwaoa? Nakushauri tu, kuwa acha tabia za kijiko cha hoteli kuingia kwenye kinywa cha kila mteja otherwise kuwa mpole hadi muoane ndo utajua alitumikaje siku zilizopita.
Na wewe umemshanga eh?
Ukioa mtu aliyesoma chuo kikuu ni sawa na kula makombo mana wanatumiwa hadi basi
Hawa ni wa kupiga na kuacha
duh.... kweli JF inazidi kuzeeka.
Pole kwa waliokufanya madada wasomi, wenzio ndio tumeoa hao....