Elimu Waliyonayo Dada Zetu Vyuo Vikuu Haina Maana

We dogo umeamua kututukaniacwake zetu? Chunga sana!
 



Maelezo Yako Hayakamilika Na Sijajua Ni Kwanini Unatoka Nje Ya Mada, Hakika Unachuki Binafsi Nami.
 
Ukioa mtu aliyesoma chuo kikuu ni sawa na kula makombo mana wanatumiwa hadi basi

Mapenz ni mchezo wa kijiti!!!!! Kama binti anamalza darasa la saba tayar ashatolewa bikra.....unafkr utampata wap ambaye hajawah kuingiliwa?? Matokeo yake ubakaji wa watoto under 10yrs!!!
 
bumija kumbe unamawazo mafupi kama mkia wa mbuzi yan unaongea kitu without a research sema huna sifa za kuwa na mdada wa chuo kikuu

yaani kuwa na mdada wa chuo kikuu ni lazima uwe na sifa? unachekesha hayo mambo ya zamani..kwa sasa hadi waendesha bodaboda..wanachukua wadada wa chuo kikuu
 

Umepima? Na huyo unayemchezea saiv ataolewa na nan?
 
Kilaza ndo hutakiwa kusaidiwa aidha kimawazo au vngnevyo...naamin ukija kutoka hum utakuwa umepata kitu fulan...ambacho nahc knaweza kukusaidia kwa namna moja ama upande wa pil!!

nitoke huku kwa ajili gani? Im just here to refresh my mind
 
Kwani wasomi wamesema wewe ni husband material? huenda na wao wanaona wewe ni wa kuchunwa na kuachwa. Kuoa ni hiari ya mtu na kuolewa hali kadhalika.Dunia ni uwanja wa fujo kila mtu hucheza ngoma yake. Ukitaka wasio soma wapo, drs la 7 wapo chuo wapo ni kama kinywaji ukitaka kimpumu kipo beer ipo wisky halikadhalika ni wewe tu na kujipima kwako.
Lakini wasomi wanaume wasiopenda wasomi wenzao mara nyingi ni waoga hawapendi challenges, wanapenda watu wa kuwaburuza
Hawa ni wa kupiga na kuacha
 
Ukioa mtu aliyesoma chuo kikuu ni sawa na kula makombo mana wanatumiwa hadi basi

Sizitakii mbichi hizi! Wamekushinda kwa kua siyo level yako! Bora ukae pembenii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…