Elimu Waliyonayo Dada Zetu Vyuo Vikuu Haina Maana

Na hata ashiki ya mapenzi hawana kwani vibosile wengi wamepitia
 

uliambiwa nyege ni ujinga kuwa zitaondolewa na kusoma?
 
Pole sana mleta mada japo ina ukweli Fulani ila jf utaambulia matusi tu maana unaowasema ndo wamejaa humu jf. Elimu imefanya mabinti wa kibongo malimbukeni ht wakiolewa ndoa zao ni za migogoro mingi na machungu kwa waume zao. F4 yatosha, chuo kikuu ni kujitafutia presha za mapema
 
learning does not necessarily lead to change in behaviour
 

challenge wapi mkuu ? Tatizo hawa educated mapepe mno
 
tuna mdis mtoa hoja bila sababu yuko sahihi huo ndiyo ukweli kwa kifupi wanafunzi wa vyuo ndiyo wanaongoza kwa mambo ya kidunia hususani starehe iwe boys or girls. nenda club weekend utakuta wanachuo wamejaa kizazi cha sasa kinapenda maisha rahisi dadas hawawezi kuishi maisha ya kujinyima wanapenda kujiachia kila kitu wanapenda cha high quality vibumu vyenyewe ndiyo hivyo mkia wa mbuzi kwa hiyo na wenyewe washageuza fashion kuwa pesa isiyo na budget iko kwa wanaume ndiyo maana wanafanya uzinzi ili waishi maisha mazuri INGAWA KIZAZI CHA WANAUME MALIMBUKENI NA WAHONGAJI NACHO KINAPOTEA
 
Mwanamke aliyesoma hadi f4 ndio mzuri akizidi hapo unaoa dikteta na huwi na sauti kwa walio wengi

Huwi na sauti kama na wewe hujasoma, ni inferiority complex tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…