Watu wanadhani kuwa na elimu ni kitendo cha kuwa na degree nyingi nyumbani au kuwa unafaulu mitihani tu lahasha Kuwa na elimu ni kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi,kuchanganua tatizo,kujali wengine,kujijali wewe mwenyewe.
Moja ya vitu ambavyo vinasumbua vijana wa sasa mpka hatufikii malengo yetu ni kitendo cha kutokuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi,kutokuwa na uwezo wa kuchanganua tatizo na hii ni kwa sababu ya elimu yetu haitufundishi hayo yote, na kwa sababu hii inafanya vijana wengi wanajiua,wanapata maambukizi ya HIV wakiwa wadogo,wanapata mimba mapema,wanakuwa watu wa shida na matatizo kila kukicha kwa sababu ya kushindwa kuevaluate machaguzi na kufanya maamuzi mazuri kwa ajili yao na future yao binafsi.
Kama elimu yetu ingekuwa imeambatanisha kipengele cha elimu binafsi ya afya ya akili na jinsi ya kufanya maamuzi na kupambana na matatizo basi hata nchi na kila mtu binafsi wangekuwa wanaendelea.
Afya ya akili ni muhimu sana hasa kwa vijana wanaokua kwa sababu maisha yana sababu nyingi sana za kukurudisha nyuma kama ilivofanya kwa watu wengi.Sisi kama vijana na wengine kama wazazi wenye vijana wadogo tupate mda wa kukaa chini na kuongea wenyewe kwa wenyewe mana hatuwezi kusubiri mpka elimu iletwe mashuleni tutapoteza nguvu kazi nyingi sana.
Kuanzia miaka 15 kwenda mbele ni watu wanaopitia changamoto nyingi sana ambazo zingine wanashindwa kufunguka kwa sababu ya mazingira na wazazi wao,hivyo wazazi pia wanajukumu la kuhakikisha wana mahusiano ya karibu sana na watoto zao kwa sababu ni kipindi ambacho wanahitaji mtu sahihi wa karibu atakaewaonesha njia sahihi,Katika umri huu vijana hujaribu vitu vingi sana ambavyo vingine huishia kujutia na kupelekea fikra mbaya na potofu na kukatia tamaa maisha yao binafsi.
WEWE KAMA KIJANA UNATAKIWA KUTAMBUA
1:Kila mtu anakosea,kila mtu yupo na matatizo kujiua sio suluhisho
2:Kila unapojiskia vibaya au hujui ni maamuzi gani ya kufanya basi usikae peke ako tafuta mtu unaemuamini akusaidie,YOU ARE NOT ALONE
3:Kila kitu kinaenda na mda,usiwe na haraka na shukuru kile ulichonacho kwa mda huo.
"Maisha yatabaki kuwa na changamoto kila siku,we cant change that ila we can change and train our minds kuweza kumudu hizo daily challenges ili kuweza kusonga mbele."

Upvote
1