Rain brainy
Member
- Aug 11, 2022
- 5
- 4
ELIMU YA AFYA YA MAKAZINI
Ni taaluma ya kisayansi inayoshughulikia uzuiaji WA magonjwa/ majeraha yanayo husiana na kazi.
-Afya ya kazini inahusisha kukuza na kudumisha kiwango cha juu zaidi cha afya ya kimwili na kiakili na ustawi wa kijamii wa wafanyakazi katika kazi zote.
KWANINI AFYA YA MAKAZINI NI MUHIMU KUFUNDISHWA.
1. Kwasababu afya ya mfanyakazi Ni msingi wa maendeleo ya mtu binafsi, jamii nzima na taifa Zima kiujumla Kwa sababu MTU anakuwa anafanya kazi akiwa na afya njema kama MTU anafuata Sheria ya afya ya makazini.
2. Kwasababu kwenye mazingira ya kazi kunakuwa na matukio ya ajari tofauti tofauti pamoja na magonjwa yatokanayo na kazi husika.
3. Kwasababu waajiri wengi hawawajibiki juu ya kulinda afya na usalama wa wafanyakazi.
4. kwa ajili ya kuzuia kutokea Kwa ajari na magonjwa yasababishayo na kazi husika.
MAGONJWA NA AJARI KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA KAZI.
MIGODINI
Hii sehemu vijana wengi wanakwenda kufanya kazi kwaajili ya kujitafutia ridhiki Kwa uchimbaji wa madini au mchanga kwaajili ya kuuza. Kutokana na shughuli zinazofanyika huku magojnwa mengi na ajari zinaweza kutokea wafanyakazi wapo kwenye hatari ya kupata magonjwa ya mapafu(lung diseases) kama vile ugonjwa sugu wa mapafu, saratani ya mapafu hii ni kutokana na vumbi la mawe pia mfanyakazi anaweza kupata silicosis.
Jinsi ya kujizuia na magonjwa hayo.
-Kuhakikisha wafanyakazi wote wanavaa vifaa vya kujikinga na ajari pamoja na magonjwa mfano kofia maalumu, masks, na gloves.
-kuhakikisha wafanyakazi wanafuata Sheria za afya makazini.
-kuhakikisha mashine zote zinawekwa katika mazingira ambayo si rahisi kusababisha ajari Kwa wafanyakazi kazi.
-toataarifa juu ya tukio lolote ambalo linaweza hatarisha afya ya mfanyakazi.
KILIMO
Katika nchi nyingi zinazoendelea shughuli za kilimo zimekuwa ndo utiwa WA mgongo katika kukuza uchumi wa nchi. Mfano uzalishaji wa maua, ulimaji wa bustani na ulimaji wa mazoa kwenye mashamba makubwa kwaajili ya biashara. Katika hizi shughuli kunakuwa na utumiaji WA kemikali nyingi sana ili kuweza kutunza mazao na kuyakuza Kwa uharaka zaidi.wakati WA utumiaji wa hizi kemikali wafanyakazi tunaathiriwa Sana bila Sisi wenyewe kujijua mfano tunaweza kupata ulevi WA kemikali, saratani ya ngozi, maumivu ya kichwa, kizunguzungu,saratani ya mapafu.
Jinsi ya kujikinga na hatari zitokanazo na kilimo.
-wafanyakazi wanapaswa kuvaa vifaa vya kujikinga na kemikali kama vile viatu maalumu, barakoa, na glove wakati WA upuliziaji dawa.
-kuacha kutumia mbolea za viwandani ilikuepuka matumizi ya kemikali.
-kutumia mashine kulimia kama vile pawatila, trekta, au kobota ilikuepuka magojnwa ya egonomia.
UJENZI
Watu wanaofanyakazi katika biashara ya ujenzi hukumbana na kelele za juu zaidi zitokanazo na mashine kubwa za ujenzi pia na tofauti tofauti za nyumatiki au za umeme. ikiwa wafanyakazi hawata jilinda na kelele zitokanazo na mashine zote za ujenzi wanaweza kupata ulemavu WA kusikia. Pia kama wanabeba mizigo mizito wanaweza kupata magonjwa ya viungo vya mwili( muscular skeleton disorders).
Jinsi ya kujikinga na hatari zitokanazo na shughuli za ujenzi.
-hakikisha wafanyakazi wanavaa vifaa vinavyo zuia ajari au magojnwa mfano viatu maalumu,barakoa, gloves, pia mavazi maalumu.
-Hakikisha mazingira ya kufanyia kazi yapo salama kabsa yaan mpangilio WA mashine na vifaa vya ujenzi uko vizuri kiasi kwamba NI ngumu kusababisha ajari.
-Hakikisha Sheria za usalama wa afya ya makazi unafuatwa
Kwa kumalizia
Jukumu la kuhakikisha usalama wa afya ya makazini unafuatwa ni letu sote yaani mwajili na mwajiliwa wa kazi husika. Kazi ndio msingi wa maendeleo tu hakikisha tuna Linda na kuendeleza afya ya mfanyakazi.
Written by
Rainhulf

Upvote
0