Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nawasalimu....!
jamani me naomba mwenye uelewa wa ndani kuhusu elim ya bima nifafanulie tofauti, faida na hasara, na taratibu za bima kati ya comprehensive na thirdparty.
nategemea msaada wenu. asanteni sana.
Comprehensive insurance covers 1st, 2rd and 3rd party damages. Ila Third party Insurance covers only the costs of the thirdy party (i.e. yule uliyemgonga)......Ila kama gari yako ikigongwa utakuwa compasated na bima ya yule aliyekugonga!Comprehesiv ni policy cover ambayo unalipia kwa ajir ya gar ikipata damage unakua na uwezo wa kulipwa atleast ghrama zote ikibid kupewa gar jipya but 3rd paty ni ghrama za bima za lazima kwa m2 mwnye gar. Bila 3rd paty gar yako hairusiw kuingia barabaran. Bt any loss may occure you wil not be compasated