Bullshit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,357
- 1,596
Nina umri wa miama 31 na sikuwahi kujua kuhusu Elimi hii.
Nimetenga Mwaka mzima kujifunza elimi hii lengo likiwa ni kujiongezea ujuzi.
Nimefatilia nimegundua Dunia ni pana hii. Naanza sasa kuelewa mambo ninayoyaona kwa wachungaji na masheih hata kwenye maisha halisi nimeanza kuelewa sasa Black magic na White Magic.
Katika umri wa 31 nimegundua kuna Elimu hii.