Elimu ya bongo inakufa

karatta

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
109
Reaction score
46
kwa matokeo haya ya kidato cha sita na kidato cha nne,inaashiria ni jinsi gan watawala walivyo dhamiria kuichimbia kaburi elimu ya Tanzania,ili tu Taifa liwe na wasomi wachache then waweze kuwatawala vizuri,au wakuu ninyi mnaonaje
 
mkuu mbona elimu ya bongo ishakufa kitambo tafuta renk ya chuo kikubwa tanzania ilivyoporomoka ndio utajua bongo pumba tupu siasa mpaka kwenye ishu muhimu..
 
mkuu mbona elimu ya bongo ishakufa kitambo tafuta renk ya chuo kikubwa tanzania ilivyoporomoka ndio utajua bongo pumba tupu siasa mpaka kwenye ishu muhimu..

nakupinga kabisa asilimia mia moja marehemu hawezi kufa mara mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…