Kama ni vurugu kuwepo nchini mwetu, basi ipo secta ya elimu nchi, tangu nilipokuwa secondary chini ya waziri mungai, sera na mabadiliko ya ufaulu yalikuwa kitu cha kawaida,kiongozi kuamka leo na kutoa kiwango kipya, kama sijakosea 2000 kiwango cha ufaulo kilikuwa 21, 2001 mwaka wangu 4m 2 kilikuwa 30, hapa kati vurugu kibao, mwaka juzi wakafuta kabisaa, juzi waziri wa elimu anweka tena 30. mi nilizani baada ya kujenga shule nyingi kingefuatwa kwanza kongezw idaidi ya waalimu,ndipo kiwango cha 30 kingefuatwa, maana kuna tofauti kubwa ya kiwango hicho kati ya wanafunzi wanaofundishwa na mwalimu mmoja na mwanafunzi anefundishwa na waalimu 30.wanafunzi wengi watakaofeli ni wale wa vijijini kama kwetu kule, wanafunzi wamijini kwao haina tatizo tuition kibao, waalimu wakutosha, ndo nauliza tutafika? au tunataka kuongeza mteja mjini.