wanaodahiliwa kuingia sekondari 70 percent hamna kitu kichwani.Idea za kina PLATO lazima zifanye kazi.si kila mtoto anastahili CLASSICAL EDUCATION(elimu yadarasani)wengine wangepelekwa kwenye trade schools km VETA wangefiti zaidi.unampeleka mtu sekondari hajui kusoma wala kuandika kiswahi huyo mwalimu anayetumia English as a medium of instruction afanye nn na kilaza wa aina hyo?wadau sekta ya elimu(serikali,walimu,wanafunzi,wazazi nk)yatafutwe majibu yamsing na si ujuaji mwingi.wanafunzi wengi hawana utayali wa kusoma hasa wa O LEVEL kwa sababu hawakustahili kuwa sekondali isipokuwa wamekutana na mfumo ZOAZOA wakajikuta wako sekondari.maslahi kwa walimu ni swala lisiloepukika kwa matokeo bora.angalia shule zilizofanya vizuri na uchunguze maisha wanayoish walimu wao(nyumba nzuri,mishahara mizuri,wako karibu na wanafunzi wao kwa msaada zaidi)KUFAULU HAKUNA MIUJIZA.NI NCHI YA KUSADIKIKA TU NDO WAWEZA FIKIRI HIVYO.