Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Shefa hata akiwa jela anapewa huduma nzuri na askari hawampi kashkashi sawa na wale apeche aloloMzee wa bwimbwi kuna siku nilimuona Muhimbili hospital kaletwa na askari magereza kupata matibabu yupo fresh inaonekana hapati kashikashi gerezani anaishi kiafsa.
Bila kumsahau mwalimu ngalawaYanga Omary Tajiri wa Tanga ndio alitajwa sana na Muumini
unaitwa A flye ngoma kali sanakuna wimbo kaimba fally ipupa mwisho ana wataja papiii mbuya na zozo wa nyese (sijui kama nimepatia ) nautafuta sana mwenye nao naomba
Kongolo alikufa na dalikimoko.Achilia mbali tu Album ile Wenge Musica BCBG 4 X 4 Kupiga sana Hela ila pia Bendi nzima ilikuwa chini ya Udhamini wa Mafia wa wakati huo ambaye pia ni Mtoto wa Hayati Rais wa Zaire ( sasa Congo DR ) Mobutu Seseseko aitwae Jose Kongolo Mibeko la Lalwaa jina la Utani alikuwa akiitwa Saadam Hussein. Kipindi hiko Bendi ya Wenge BCBG na ya Quarter Latin yake Koffi Olomide zilikuwa chini ya Udhamini mkubwa wa Serikali kwakuwa huyu Mtoto wa Mobutu Jose Kongolo alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya nao na aliwabeba sana kwa Fedha alizokuwa Akiiba kwa Mgongo wa Hayati Baba yake na pia kwa Dhahabu na Almasi alizokuwa Akiiba huko.
Ukisikiliza Albums zote za Wenge Musica BCBG na za Quarter Latin lazima tu utasikia akina JB Mpiana na Koffi Olomide wakimpaisha kwa kusema Jose Kongolo Sadame Missele wakimaanisha Jose Kongolo Sadam wa Makombora. Ikumbukwe pia kuwa Jose Kongolo alikuwa ni Mwanajeshi mkubwa tu na Mpenda Vita ambaye alishiriki sana Kuua Mwenyewe ( Yeye kama Yeye ) wale Wapinzani wa Hayati Baba yake japo hata Yeye pia alifariki kwa Kujiua ndani ya Boti ya Kijeshi aliyoitumia Kulikimbia Jeshi la Hayati Laurent Desire Kabila baada ya kuambiwa limeshaichukua rasmi Congo DR kwa msaada wa karibu na Wanajeshi wa Uganda, Rwanda na wana Usalama kadhaa wa Tanzania ambao Kimaadili nawahifadhi.
Dada yake Jose Kongolo aitwae Ngawali ambaye wengi wenu mlimjua kwakuwa ndiyo alikuwa akipanda Ndege aina ya Jet ya Baba yake kutoka Kinshasa asubuhi kwenda Darasani Kusoma nchini Ufaransa katika Jiji la Paris kwa Kufuru Kubwa ya Hayati Baba yao sasa ni Baamedi katika Hoteli moja Kubwa na maarufu huku nchini Ufaransa huku akiwa na Maisha magumu mno tofauti alivyokuwa awali akilalia katika Chumba chenye Madini ya Almasi tupu.
Abdul mteketa, hahaKatunzi.
Amos makala
Ndama mtoto ya ng'ombe
Pedeshee papaa misifa
Rugaibura.
Kuna clip YouTube jamaa alitajwa akaenda mbele akagawa pesa kufuru mpaka akakatazwaaa na wapambe😊😊Pedeshee Ndama Mutoto ya ng'ombe
Ilibidi nicheke tu,maana nami nimewaza sanaSawa ikiwa lengo la binti yake Kuku Ngbendu wa Zabanga na familia yake lilikuwa ni kufanya kufuru tu.
Hata hivyo, katika uhalisia, mhusika alikuwa hapati faida yoyote kitaaluma ndo mana akaishia hapo Bar. Aidha, safari kutoka Kinshasa au Gbadolite huchukua masaa zaidi ya Sita.
Wakati mwingine tumwachie Abunuwas na hekaya zake kwa kuwa uhalisia haupo.
Mkuu dhambi hiyokuna interview moja niliwahi iona jb mpiana anahojiwa akiwa kwake, aisee ile sio nyumba bali jamaa anaishi hotelini tena 5 star, kamera ikapelekwa parking, aisee yale magari anayomiliki sio mchezo, siku baada ya kuiangalia ile interview nikaja kutana na ali choki wa twanga pepeta sehemu na usafiri wake nilijikuta nacheka kwa nguvu😂
Unauliza Vuzi Sirini?Kongolo alikufa na dalikimoko.
Anaitwa Adolphe Muteba Chilamwina ni mfanyabiashara maarufu wa madini pale KinshasaYule katajwa Sana kwenye wimbo wa Mayday wa Fally sijui atakuwa katoa sh ngapi...
Anaitwa nadhani Chilamwina
Huyu naona ali u sponsor mwimbo mzima.Anaitwa Adolphe Muteba Chilamwina ni mfanyabiashara maarufu wa madini pale Kinshasa
Hata Mimi pia nimehisi hivi hivi Mkuu.Huyu naona ali u sponsor mwimbo mzima.
Kote kote tu ukinitupa Mzanaki na Myao Mimi niko vyema tu na ndiyo maana nawaambia 24/7 kuwa Nimebrikiwa mno tu.Kumbe Genta ni mkali upande huu
Jibu swali wewe popoma wacha kurukaruka kama maharage😀😀IQ yangu imenikataza kupoteza muda na Wapumbavu na Wanafiki.