OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Sasa dadaangu si uingie website yao uone lol! Lkn umeolewa?
Sasa dadaangu si uingie website yao uone lol! Lkn umeolewa?
Usilogwe ukajiunga....
Ila kwa mafunzo ya Kon Fu hapo ni mahala pake..
kwa nini wanafundisha taikondo,kwani kina mkono wa jkt?
Naomba kujua kama kimeshaanza kutoa wahitimu. Maana toka nimekisikia sijawahi kukutana na mwenye degree kutoka chuo hicho.
Sasa dadaangu si uingie website yao uone lol! Lkn umeolewa?
kama unatafta quality education usifikirie kujiunga na hicho chuo
mi mwenyewe hili linanipa tabu,siwaoni maofisi,au wanaajiriwa sana nchi za nje?
Hahahaaa, anatafuta Mume wa kutoka MUM....
Loh, kweli una uraru wa mume kutoka MUM, acha kuvaa vimini, utakutana nao tu.
mbona unajibu kwa matusi?ni wapi nilipokesa,nifute au ni-edit?
,,,ivi graduates wa pale wanaajiriwa ofisi zipi. Serious.
Hapo tusi nini jamani?
"Anaa swu'umun"