Aaanh mi nilidhani tunajadili kumbe ni ubishani mkuu???!!!
Well loan board vigezo vya mkopo sio pamoja na ufaulu????!
Unapoomba mkopo unatumia fomu zipi mkuu???!!!
safi sana,kuna kozi gani pale tofauti na dini?
Unapoomba mkopo unatumia fomu zipi mkuu???!!!
Ligi zingine are not worth taking, whats the `ambush or wait' hadi utumie LIER? Umeingia kwenye mnakasha ukiwa hujui SUZA ni nini wewe unawaza SUA! Usomi ni pamoja na kukubali kukosolewa
Mzee mbona unakomaa na mambo yasiyo muhimu?hujui kingine tofauti na hiyo 'lier' yako,acha ligi isiyo na tija
Jamani tuvumiliane sana katika maelezo ninayoyatoa kama unaswali au sehemu hujailewa niulize nipo tayari kukujibu.
Chuo hakiwafundishi watu namna ya KUTUKANA ila kutukana ni tabia binafsi ya mtu, kwahiyo msitumie kigezo cha mtu mmoja kusema kwamba hao ndio wahitimu wa MUM walivyo.
Na kama watu wanahoji juu ya ubora wa chuo kwanini usiuseme? Tumieni busara katika kujibu maswala ya elimu kwani jukwaa hili ni la ELIMU si jukwaa la siasa.
HESLB ndo wanakagua vyeti on behalf of TCU.
Tunaomba mkopo kama wanavyoomba wanafunzi wa vyuo vingine hatuna tofauti nao. Kwani umeuliza hivyo?
so yeye kwanini alikuwa anakosoa kitu kisicho na tija na kibaya zaidi anakosoa kitu asichokijua.nataka nimsaidie huyu bwana mdogo siku nyingine asiaibike kwa kujifanya anajua mambo asiyoyajua
Thanx will do that, hapa natumia mobile!!!!Form za mikopo ziko tofauti na za NACTE & TCU. Tembelea http://www.olas.heslb.go.tz
And thus selection is not concluded by MUM solely!!!!!
Ligi zingine are not worth taking, whats the `ambush or wait' hadi utumie LIER? Umeingia kwenye mnakasha ukiwa hujui SUZA ni nini wewe unawaza SUA! Usomi ni pamoja na kukubali kukosolewa
Selection & Admission is solely done by MUM! Think of those who do not apply for loans. Kila kitu wanamaliza wao, link pekee ni HESLB
Thanx will do that, hapa natumia mobile!!!!
But mwanafunzi anasema wanaomba kama wengine tu
rotflmao!!
nilikuwa sijui suza ndo nn ndo mana nikauliza kwamba suza ndo nini kwenye comment yangu but sikutaka kujifanya mjuaji wa kila kitu kama ww ulivyojifanya.mi nilijua unamaanisha suzana coz hivyo vyuo vyenu vya mchangani hamna mtu anayevijua na ukiandika kwa kifupi ndo kabisa havitambuliki
vyuo vote bora