Elimu ya chuo kikuu basi tena..!!! Natafuta mtaji wa M-pesa.!

Elimu ya chuo kikuu basi tena..!!! Natafuta mtaji wa M-pesa.!

King Mutesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
227
Reaction score
141
sijui hata wa kumlaumu nani..!!
Ni baada ya kukosa mkopo mimi mtoto wa MKULIMA.!
Kozi LLB ya pale Mzumbe.!!!

Waliopata mkopo mkasome na sio mkaendekeze hanasa.!!
 
Pole sana kaka! Bado hajafeli maisha mkuu endelea kupambana.
 
badala uombe education ukataka nawewe ujitutumue ama guide book hukuisoma?
 
Sio lazima LLB ndo maisha yawe mazuri kwani ungeomba Ed siungesonga mbele.
 
pole sana, usikate tamaa tafuta pesa mambo yakiwa mazuri utakwenda chuo kwa kujilipia mwenyewe.. haijalishi ni mwaka gani
 
Usiogope,chuo story tu mtaan,amna kipya zaidi! Jipange,next yr.!
 
sijui hata wa kumlaumu nani..!!
Ni baada ya kukosa mkopo mimi mtoto wa MKULIMA.!
Kozi LLB ya pale Mzumbe.!!!

Waliopata mkopo mkasome na sio mkaendekeze hanasa.!!

Hapana umekosea, hapa ni kuomba msaada wa mawazo sio kulaumu anasa. Huwa kuna appeal, nadhani zitatangazwa baadaye. Hivyo tafuta vielelezo vyote kama kweli wewe ni mtoto wa mkulima per se. Utashinda appeal
 
:A S cry😛ole sana mjomba,hao heslb hadi watu wa Education baadhi wachinjiwa baharini,tz full mizinguo!!!!!!!!:A S 465:
 
Hapana umekosea, hapa ni kuomba msaada wa mawazo sio kulaumu anasa. Huwa kuna appeal, nadhani zitatangazwa baadaye. Hivyo tafuta vielelezo vyote kama kweli wewe ni mtoto wa mkulima per se. Utashinda appeal

Ngoja nichek ustaarabu wa ku appeal.!
 
"education siipend" wewe watoto wa wakulima hatuchaguagi coz huwa wakubwa wanatuchagulia sasa lete nyodo uone ka utaenda chuo kula pumba

Jinsi ulivyoniquote daah.!
Natamani hata ningekuona ulivyoitamka "siipendi education" Kama hukubana pua wewe..! Daaah.!
 
sijui hata wa kumlaumu nani..!!
Ni baada ya kukosa mkopo mimi mtoto wa MKULIMA.!
Kozi LLB ya pale Mzumbe.!!!

Waliopata mkopo mkasome na sio mkaendekeze hanasa.!!

Usikate tamaa,kumbuka kila kitu kinatokea kwa sababu!
 
Back
Top Bottom