King Mutesa
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 227
- 141
Pole sana mwana hayo ndo maisha..kunakupata na kukosa
Pole sana kaka! Bado hajafeli maisha mkuu endelea kupambana.
sijui hata wa kumlaumu nani..!!
Ni baada ya kukosa mkopo mimi mtoto wa MKULIMA.!
Kozi LLB ya pale Mzumbe.!!!
Waliopata mkopo mkasome na sio mkaendekeze hanasa.!!
mtaji wa m pesa bei gan?
:A S cry😛ole sana mjomba,hao heslb hadi watu wa Education baadhi wachinjiwa baharini,tz full mizinguo!!!!!!!!:A S 465:
Hapana umekosea, hapa ni kuomba msaada wa mawazo sio kulaumu anasa. Huwa kuna appeal, nadhani zitatangazwa baadaye. Hivyo tafuta vielelezo vyote kama kweli wewe ni mtoto wa mkulima per se. Utashinda appeal
badala uombe education ukataka nawewe ujitutumue ama guide book hukuisoma?
Education si ipendi kabisa mkuu.!
"education siipend" wewe watoto wa wakulima hatuchaguagi coz huwa wakubwa wanatuchagulia sasa lete nyodo uone ka utaenda chuo kula pumba
sijui hata wa kumlaumu nani..!!
Ni baada ya kukosa mkopo mimi mtoto wa MKULIMA.!
Kozi LLB ya pale Mzumbe.!!!
Waliopata mkopo mkasome na sio mkaendekeze hanasa.!!