Elimu ya darasani vs Elimu ya Mtandaoni

Elimu ya darasani vs Elimu ya Mtandaoni

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,367
Reaction score
2,451
Kwa maisha ya Sasa je ni Elimu gani Ina nguvu na una prefer kati ya elimu ya darasani na Elimu ya mtandoni?
 
una prefer kati ya elimu ya darasani na Elimu ya mtandoni?
Inategemea aina ya elimu uitakayo, Ngazi ya elimu usika.
  • Elimu inayohitaji vitendo zaidi nenda darasani/Maabara.
  • Ila kozi mbali mbali za kujiongezea CV , mtandaoni inatosha.
Elimu ya mtandaoni ina mipaka yake.
1739875577044.png
 
Tunakoelekea elimu ya mitandaoni itakuwa Bora zaidi kuliko ya darasani kwa sababu elimu ya mitandaoni inakuwa updated kwa urahisi sana
 
Mi naona ya mtandaoni,yahitaji tu mtu awe serious,ili imwingie vyema,lkn vinginevyo ni balaa
 
Back
Top Bottom