Elimu ya fedha ikifundishwa mashuleni itaimarisha fikra za watanzania?

Elimu ya fedha ikifundishwa mashuleni itaimarisha fikra za watanzania?

Tunu cardbean

New Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
3
Reaction score
2
Elimu ya fedha ikifundishwa mashuleni itaimarisha fikra za watanzania walio wengi? Je itafungua akili zao nakufanya waone fursa mbalimbali?

Jibu ni ndiyo, elimu ya fedha ikifundishwa mashuleni na kuanzia kwenye ngazi ya familia itawafanya watu kuwa na uthubutu kwenye biashara na fursa mbalimbali zitakazojitokeza na pia kuwaongezea uwezo wa kutatua changamoto za kifedha.
 
Back
Top Bottom