kishoreda
Senior Member
- Nov 2, 2010
- 174
- 29
Wadau naomba kuuliza hapo zamani nilisikia kulikuwa na elimu iliyokuwa inatolewa na vyuo vya ufundi vya serekali yaani Dar Tech,Arusha Tech na Mbeya Tech.Ila kwa sasa siisikii tena na katika kufuatilia nimeambiwa serekali imeifuta.Je kwanini serekali imefuta hii elimu na niliwahi kuambiwa ilikuwa inazalisha wataalamu wa ukweli wa ufundi?Naomba majibu kwa wenye data.