Mvuto upi??...nadhani 'ungetueleza kama wamebadilisha syllabuss...kubadilisha jina hakuifanyi iwe mbaya...Tangu walpoibadilisha jina imekuwa aina mvuto tena.
Ok...kwahiyo imekaaje kwa walioipata, waka-update vyeti vyao visomeke Ordinary diploma au niaje?imebadilishwa jina now days inaitwa ordinary diploma
imebadilishwa jina now days inaitwa ordinary diploma
hata mtaala pia umebadilika ila product zake sio nzuri kama ftc. nina ftc na nafanya kazi na wenye hizo OD wako shallow kiaina.Je imebadilishwa jina tu?Vp kuhusu mtaala na kiwango cha elimu pamoja na product ni sawa na ile ya FTC?Pia jina la Full Technician Certificate lilikuwa na tatizo gani mpaka wakaibatiza jina lingine Ordinary Diploma?Nahitaji ufafanuzi dada Lady N.