Gordon Technology
Member
- Apr 29, 2016
- 49
- 68
TECHNOLOGY YA GPS TRACKING
Habari njema kwako wewe mmiliki wa chombo cha moto hii si ya kukosa
Je, unafanya kazi za usafirishaji? au umeajiri vijana waendeshe vyombo vyako vya moto kama vile gari 🚙, lori 🚛, na bodaboda 🏍 na bajaji na wanakuletea hesabu tofauti na matarajio yako? au wewe ni mmiliki wa magari ya biashara/mabasi/Kosta/Noah/Probox na unataka uwe unafatilia vizuri ufanyaji kazi wake.
au wewe ni mtu binafsi unataka uweke ulinzii kwenye gari lako au pikipiki yako au Bajaji au jenereta lako kwa kuepuka uharifu na wizi ulio kithiri hivi SASA? Je! Unapenda kujua ni muda gani wa kufanyia (service) usafiri wako? Je! Unapenda kutunza usafiri wako? jibu ni moja 👉 GPS TRACKER itakufaa SANA.
ITAKUPA uwezo wa mambo yafuatayo:
1. Utaweza kufuatilia route na mizunguko yote ya chombo chako cha usafiri, utajua ni wapi kilikuwa na kimefanya kazi kwa muda gani. Sasa kama wewe ni mmiliki wa vyombo vya biashara hapa hutosumbuliwa hesabu kabisa maana vyombo vyako vyote utakuwa navyo kwenye simu yako.
2. Utaweza kuwasha na kuzima chombo chako mahali popote utakapokuwa, yaani hata kama kuna mtu umempa na anataka kufanya UHARIBIFU au KACHELEWA kukurudishia chombo chako, wewe mmiliki utaweza kumzimia mara moja kwa kutumia simu yako ya mkononi na asiweze kukiwasha KABISA.
3. Utaweza kuweka uzio wa chombo chako (GEO FENCE).Hapa tuna maanisha unaweza kuweka mipaka chombo CHAKO kisitoke nje ya eneo Fulani/wilaya/Mkoa na endapo kikitoka basi utapata alarm kupitia simu yako na utaona kimeenda wapi chombo cha moto.
4. Utaweza kudhibiti mwendo kasi wa chombo chako (over speed).Hapa tunamaanisha unaweza kuseti speed limit kupitia simu yako na dereva akitembea speed kubwa kupitiliza basi utapata alarm ktk simu yako.
5. Utaweza kupata ripoti ya chombo chako kwa siku, wiki, mwezi, na hata mwaka moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi.Ripoti ni pamoja na kujua chombo kimetembea kilomita ngapi Kwa siku/wiki.
💥KWA MAHITAJI YA HUDUMA HII.
Call/Whatsapp☎️0746373222.