MWEMA ALISOMAGA KWA KUUNGAUNGA TUU, HAJAWAHI KUKAA DARASANI KUPATA ELIMU YA SECONDARI NA HIGH SCHOOL, (Private candidate) Baadaye akaingia pale mlimani akiwa mtu mzima kabisa aliyechelewa kuingia chuoni wakati huo akiwa bado ni askari polisi akisoma uzeeni, Alifanikiwaga kwenda marekani kusoma kozi fupi.alivyorudi ndio kuanza kupewa ukamanda ... baadae ndio akachongewa laini ya ahadi ya kuwa IGP baadaye kikwwete atakapoingia madarakani, kwasababu tuu ya ushemeji na kikwete.