Elimu ya Josephat Gwajima inatia mashaka

Ila elimu ya Mbowe haitii mashaka. Kilaza oyeeeeeeeeeeee.

UNATAKA KUVUSHWA NA KILAZA.
 
Kwa elimu hii ya hapa na pale aka magumashi, sishangai tena kusikia Birmingham ipo Marekani!
Si ajabu kwa hao... yule mmoja si alisema Tanzania imetokana na muungano kati ya Tanganyika na.......
 
Katika Karne hii, bado Kuna watu mnajivunia elimu zenu za kwenye makaratasi, ambazo pengine hazijawasaidia kabisa🤔?
 
Ila elimu ya Mbowe haitii mashaka. Kilaza oyeeeeeeeeeeee.

UNATAKA KUVUSHWA NA KILAZA.
Elimu ya Gwajima ipo juu sana ukilinganisha na mbunge kama Lema au Sugu. Yuko level moja na Dkt Shoo wa KKKT Dayosisi ya kaskazini.
 
W
Kamanda haya ya elimu yake yatatusadia tukomboe jimbo letu? Tuwe na hoja za msingi hali mbaya sana kisiasa tunayo.
Wewe lumumba buku 7 umetengeneza ID Jana kujifanya kamanda wa chadema kweli maji yamewafika shingoni wewe Ni mbulula
 

Mkuu wangu nakubalina na nondo zako kwa asilimia 100.

Askofu Masangwa mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini kati kachukua degree yake Catholic University Kenya wakati KKKT ina chuo kikuu Makumira.Kwakuwa sifa za kujiunga na chuo kikuu ni sawa Duniani kote haijalishi umesoma chuo gani.

Sasa hii suala la Askofu Gwajima kusoma mwaka mmoja na sifa ya form four div 4 kwa hakika asingepokelewa Makumira au Catholic university.
 




Maboss wangu wa KAWE, Wazee wangu wa KAWE, Wamama wa kawe, Vijana wa Kawe. Tumchague Gwajima.
Ila Kama hukuwahi kupanda Treni yake, wala hujawahi kuiona basi usimchague.

hapo sasa
 
Tapeli la Kimataifa😀
 
Mbona unakwenda mbali? Mchungaji ameomba nafasi ya ubunge. Jee vigezo vya elimu kwenye nafasi hiyo ni vipi? Jee yeye anakidhi vigezo hivyo vya kisheria???? Tuache longolongo. Nchini kuna vyama zaidi ya 15 na nafasi ya ubunge zilikuwa wazi kwenye vyama vyote hivyo.
Kwa nini elimu ya Gwajima iwe nongwa? Kufaa kwa mchungaji huyu kwenye nafasi hiyo wameachiwa wananchi wa eneo hilo. Hebu tuwaache wafanye maamuzi yao.
 
Kwahiyo haya ndio mnayajua leo? Si alikuwa shujaa wenu huyu?
 
yaani hata bila kupekenyua.... kwa kigezo cha yale yanayomtoka kinywani mwake unaweza kumtambua tu kuwa hata form 4 anaweza akawa hakufika kabisa, ama la kama alifika inaweza kuwa ilikuwa ni miswaki mwanzo mwisho!
 
Huu haswa ndiyo wasifu wa huyu janja janja
 
Mambo ya huyu jamaa ni ya kitapeli tapeli..elimu yenyewe magumashi matupu kama ya kwangu tu.

Huyu si wa kumpa jimbo wana kawe; huyu hatufai hata kidogo...
 
Hahaha halafu wakafukuza PhD zenye vyeti fake vya form four!?
Yaani daktari alietumia cheti cha form four cha nduguye aliyeenda jeshi akafanya upasuaju kwa miaka kumi ++ kwa mafanikio!!eti unamfukuza!!! badala ya kudhibiti matumizi ya "impersonalization" kwa siku za usoni!! inasikitisha kwa kiwango fulani. Haya basi mpe japo michango yake ya mifuko ya jamii, hakuna!!! Kwani the means justify the ends in-hold?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…