Mkuu unataka kupotea enheeAsante kwa kutoa hilo darasa. Nilishindwa mjibu huyu mtu sababu niliona ana uelewa duni kwenye mambo haya. Kuhusu Gwajima, mimi nilikuwa napata shida sana kwani elimu yake na matamshi yake niliona haviendani. Nilidhani ni msomi. Sasa, nimejua ukweli hivyo nimekuwa huru na simlaumu tena atakapo sema lolote.
Nimebaki na shida moja tu, nayo ni elimu ya Jiwe. Uelewa wake hauendani na elimu yake.
Nimekuwa napata shida sana kutokana na elimu ya Gwajima . Tokea kipindi akitangazia umma na akiliamsha dude pale Kanisani kwake, basi ,nikawa napata shida kutokana na matamshi yake.
Kila kazi ina miiko yake. Askofu hatakiwi kutoa siri za muumini wake hata kama huyo muumini amelihama kanisa lake. Hapa niliona kwenye YouTube Gwajima akisema mambo ya siri ya mke wa Dkt. Slaa.
Leo nimeangalia tovuti ya kanisa la Gwajima. Katika hii tovuti ambayo ameandaa yeye mwenyewe nimeona mambo yafuatayo:
References
- Gwajima amezaliwa mwaka 1970
- Amemaliza shule ya msingi mwaka 1985
- Amemaliza shule ya sekondari Olevel mwaka 1993. Alichelewa kumaliza secondary sababu ya maradhi.
- Alimaliza Advanced Diploma in Bible and Theology mwaka 1994 mjini Nairobi Kenya. Hapa ndo pana ufisadi wa elimu. Yaani alisoma stashahada ya juu kwa mwaka mmoja tena baada ya kumaliza olevel. Kwa maoni yangu, huyu alichosoma ni level ya certificate. Matatizo ya Gwajima it yanaanzia hapa.
- Baada ya hiyo Advanced Diploma yake ambayo ni magumashi, alijiunga na chuo kinaiitwa Japan Bible Institute na kusomea Master’s degree in Christian Missions June 2006 mpaka February 2008. Hapa nilitaka kujua ni kwanini hiyo institute ilikubali kumpa admission mwanafunzi ambaye ambaye ana only post secondary study ya mwaka mmoja tu, nikakuta hiyo institute yenyewe nayo ni ya kimagumashi. Hiyo institute haina hata physical address . Ni Chuo cha kwenye mtandao na pia kinatoa degree by experience. Yaani waweza pewa hata degree kwa kuwa una uzoefu. Hii masters degree yake kumbe ni utata mtupu na achilia mbali kwamba hana sifa za kujoin hata kozi ya degree ya kwanza.
- Mwaka 2015 alipewa PhD na chuo cha kidini cha Afrika ya Kusini kinaitwa Omega Global University. Kwenye tovuti ya chuo hiki pana maelezo kwamba kinatoa honorary PhD. Gwajima haoneshi kwenye tovuti yake ni mwaka gani alijoin hiki chuo wala lini alimaliza. Pia, hiyo miaka, Gwajima alishakuwa na kanisa la misukule huko Ubungo na baadae kuhahmia Kawe. Tena ni mwaka ambao alikuwa mshenga wa kumleta Lowassa Chadema na baadaye kututobolea siri ya vyeti vya mkuu wa mkoa aitwaye Bashite. Hivyo basi, PhD hii ni ya heshima.
- Mwisho, kwa maoni yangu, elimu ya Gwajima ambayo haina mashaka kabisa ni ile ya form four mwaka 1993.
Tapeli katika ubora wake
Hahaha ukitaka kuwaelewa ccm lazima uwe UVCC a.k.a JESHI LA AKIBA, otherwise utaumiza kichwa na hutoelewa.Yaani daktari alietumia cheti cha form four cha nduguye aliyeenda jeshi akafanya upasuaju kwa miaka kumi ++ kwa mafanikio!!eti unamfukuza!!! badala ya kudhibiti matumizi ya "impersonalization" kwa siku za usoni!! inasikitisha kwa kiwango fulani. Haya basi mpe japo michango yake ya mifuko ya jamii, hakuna!!! Kwani the means justify the ends in-hold?
Chinekee.... ndio maana kuna profesa mazingeVyuo vya dini vingi haviko Accredited na serikali sababu ya separation Kati ya dini na serikali. Hivyo sifa za kujiunga ziko tofauti na Hivyo vyuo accredited vya serikali.Sababu serikali hazina dini nyingi Huwezi mpelekea mtu asiye na dini akutengenezee syllabus ya dini hivyo vyuo vingi vya dini vigezo huwa tofauti kabisa.
Ndio Maana waweza mkuta shehe ana PhD ya elimu ya kiislamu lakini alisoma madrasa tu hajawahi kanyaga hata shule ya msingi lakini kasoma madrasa na vyuo vya kiislamu Hadi kufikia ngazi ya PhD.
Kwenye makanisa mengine mfano darasa la Saba aweza Soma vyuo vyao.Diploma na degee bila shida wao elimu wanayojikita nayo Ni ya dini Yao tu Sio mlundikano wa masomo mengi la hasha wanatengeneza msomi w dini yao tu.
Kuhusu PhD ya Gwajima hiyo alipewa na hicho chuo kutokana na kazi yake anayofanya kwenye jamii; walifanya assessment wakaona ni mtu kafanya kazi kubwa kwenye jamii, kaandika vitabu 32 na vimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 20 duniani na vinasomwa nchi tofauti za lugha tofauti na kutumia vyuoni vya dini ndio wakamtunuku hiyo PhD.
Hiyo PhD hicho chuo waliotunukiwa nacho ni pamoja na marehemu Dk Reginald Mengi yeye PhD yake ni ya hicho chuo naye alitunukiwa kwa kazi yake kwenye jamii mwingine Ni Marehemu Dk Getrude Rwakatare pia PhD yake alipewa na hicho chuo.
Chadema viti mwalimu hadi wakunyandue ndio upewe ubungeCCM nafasi zinatolewa kwa kujuana si kwa merits.
Wewe umechelewa sana aisee kumfahamu Gwajima au itakua unapelekeshwa tuu na upinzani pole aiseeeVyuo vya dini vingi haviko Accredited na serikali sababu ya separation Kati ya dini na serikali. Hivyo sifa za kujiunga ziko tofauti na Hivyo vyuo accredited vya serikali.Sababu serikali hazina dini nyingi Huwezi mpelekea mtu asiye na dini akutengenezee syllabus ya dini hivyo vyuo vingi vya dini vigezo huwa tofauti kabisa.
Ndio Maana waweza mkuta shehe ana PhD ya elimu ya kiislamu lakini alisoma madrasa tu hajawahi kanyaga hata shule ya msingi lakini kasoma madrasa na vyuo vya kiislamu Hadi kufikia ngazi ya PhD.
Kwenye makanisa mengine mfano darasa la Saba aweza Soma vyuo vyao.Diploma na degee bila shida wao elimu wanayojikita nayo Ni ya dini Yao tu Sio mlundikano wa masomo mengi la hasha wanatengeneza msomi w dini yao tu.
Kuhusu PhD ya Gwajima hiyo alipewa na hicho chuo kutokana na kazi yake anayofanya kwenye jamii; walifanya assessment wakaona ni mtu kafanya kazi kubwa kwenye jamii, kaandika vitabu 32 na vimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 20 duniani na vinasomwa nchi tofauti za lugha tofauti na kutumia vyuoni vya dini ndio wakamtunuku hiyo PhD.
Hiyo PhD hicho chuo waliotunukiwa nacho ni pamoja na marehemu Dk Reginald Mengi yeye PhD yake ni ya hicho chuo naye alitunukiwa kwa kazi yake kwenye jamii mwingine Ni Marehemu Dk Getrude Rwakatare pia PhD yake alipewa na hicho chuo.
Elimu yake haihusiani kabsa na siasa Gwajima anauwezo mkubwa hata nyie mnatambua na kulijua hilo so achen upuzi na ujinga mnaoendelea nao Huyo tundu lisu kasoma nn huyo halima amesoma hadi wap kama sio upumbuani wa akili unaowasumbuaNimekuwa napata shida sana kutokana na elimu ya Gwajima . Tokea kipindi akitangazia umma na akiliamsha dude pale Kanisani kwake, basi ,nikawa napata shida kutokana na matamshi yake.
Kila kazi ina miiko yake. Askofu hatakiwi kutoa siri za muumini wake hata kama huyo muumini amelihama kanisa lake. Hapa niliona kwenye YouTube Gwajima akisema mambo ya siri ya mke wa Dkt. Slaa.
Leo nimeangalia tovuti ya kanisa la Gwajima. Katika hii tovuti ambayo ameandaa yeye mwenyewe nimeona mambo yafuatayo:
References
- Gwajima amezaliwa mwaka 1970
- Amemaliza shule ya msingi mwaka 1985
- Amemaliza shule ya sekondari Olevel mwaka 1993. Alichelewa kumaliza secondary sababu ya maradhi.
- Alimaliza Advanced Diploma in Bible and Theology mwaka 1994 mjini Nairobi Kenya. Hapa ndo pana ufisadi wa elimu. Yaani alisoma stashahada ya juu kwa mwaka mmoja tena baada ya kumaliza olevel. Kwa maoni yangu, huyu alichosoma ni level ya certificate. Matatizo ya Gwajima it yanaanzia hapa.
- Baada ya hiyo Advanced Diploma yake ambayo ni magumashi, alijiunga na chuo kinaiitwa Japan Bible Institute na kusomea Master’s degree in Christian Missions June 2006 mpaka February 2008. Hapa nilitaka kujua ni kwanini hiyo institute ilikubali kumpa admission mwanafunzi ambaye ambaye ana only post secondary study ya mwaka mmoja tu, nikakuta hiyo institute yenyewe nayo ni ya kimagumashi. Hiyo institute haina hata physical address . Ni Chuo cha kwenye mtandao na pia kinatoa degree by experience. Yaani waweza pewa hata degree kwa kuwa una uzoefu. Hii masters degree yake kumbe ni utata mtupu na achilia mbali kwamba hana sifa za kujoin hata kozi ya degree ya kwanza.
- Mwaka 2015 alipewa PhD na chuo cha kidini cha Afrika ya Kusini kinaitwa Omega Global University. Kwenye tovuti ya chuo hiki pana maelezo kwamba kinatoa honorary PhD. Gwajima haoneshi kwenye tovuti yake ni mwaka gani alijoin hiki chuo wala lini alimaliza. Pia, hiyo miaka, Gwajima alishakuwa na kanisa la misukule huko Ubungo na baadae kuhahmia Kawe. Tena ni mwaka ambao alikuwa mshenga wa kumleta Lowassa Chadema na baadaye kututobolea siri ya vyeti vya mkuu wa mkoa aitwaye Bashite. Hivyo basi, PhD hii ni ya heshima.
- Mwisho, kwa maoni yangu, elimu ya Gwajima ambayo haina mashaka kabisa ni ile ya form four mwaka 1993.
kwani mbowe ana elimu gani?Nimekuwa napata shida sana kutokana na elimu ya Gwajima . Tokea kipindi akitangazia umma na akiliamsha dude pale Kanisani kwake, basi ,nikawa napata shida kutokana na matamshi yake.
Tunaenda na Mbunge msomi asiye na chembe ya uhuni wa ubabaishajiNimekuwa napata shida sana kutokana na elimu ya Gwajima . Tokea kipindi akitangazia umma na akiliamsha dude pale Kanisani kwake, basi ,nikawa napata shida kutokana na matamshi yake.
Kila kazi ina miiko yake. Askofu hatakiwi kutoa siri za muumini wake hata kama huyo muumini amelihama kanisa lake. Hapa niliona kwenye YouTube Gwajima akisema mambo ya siri ya mke wa Dkt. Slaa.
Leo nimeangalia tovuti ya kanisa la Gwajima. Katika hii tovuti ambayo ameandaa yeye mwenyewe nimeona mambo yafuatayo:
References
- Gwajima amezaliwa mwaka 1970
- Amemaliza shule ya msingi mwaka 1985
- Amemaliza shule ya sekondari Olevel mwaka 1993. Alichelewa kumaliza secondary sababu ya maradhi.
- Alimaliza Advanced Diploma in Bible and Theology mwaka 1994 mjini Nairobi Kenya. Hapa ndo pana ufisadi wa elimu. Yaani alisoma stashahada ya juu kwa mwaka mmoja tena baada ya kumaliza olevel. Kwa maoni yangu, huyu alichosoma ni level ya certificate. Matatizo ya Gwajima it yanaanzia hapa.
- Baada ya hiyo Advanced Diploma yake ambayo ni magumashi, alijiunga na chuo kinaiitwa Japan Bible Institute na kusomea Master’s degree in Christian Missions June 2006 mpaka February 2008. Hapa nilitaka kujua ni kwanini hiyo institute ilikubali kumpa admission mwanafunzi ambaye ambaye ana only post secondary study ya mwaka mmoja tu, nikakuta hiyo institute yenyewe nayo ni ya kimagumashi. Hiyo institute haina hata physical address . Ni Chuo cha kwenye mtandao na pia kinatoa degree by experience. Yaani waweza pewa hata degree kwa kuwa una uzoefu. Hii masters degree yake kumbe ni utata mtupu na achilia mbali kwamba hana sifa za kujoin hata kozi ya degree ya kwanza.
- Mwaka 2015 alipewa PhD na chuo cha kidini cha Afrika ya Kusini kinaitwa Omega Global University. Kwenye tovuti ya chuo hiki pana maelezo kwamba kinatoa honorary PhD. Gwajima haoneshi kwenye tovuti yake ni mwaka gani alijoin hiki chuo wala lini alimaliza. Pia, hiyo miaka, Gwajima alishakuwa na kanisa la misukule huko Ubungo na baadae kuhahmia Kawe. Tena ni mwaka ambao alikuwa mshenga wa kumleta Lowassa Chadema na baadaye kututobolea siri ya vyeti vya mkuu wa mkoa aitwaye Bashite. Hivyo basi, PhD hii ni ya heshima.
- Mwisho, kwa maoni yangu, elimu ya Gwajima ambayo haina mashaka kabisa ni ile ya form four mwaka 1993.
FREEMAN MBOWE NA HALIMA MDEE WANAVYOMHUJUMU TUNDU LISSUNimekuwa napata shida sana kutokana na elimu ya Gwajima . Tokea kipindi akitangazia umma na akiliamsha dude pale Kanisani kwake, basi ,nikawa napata shida kutokana na matamshi yake.
Kila kazi ina miiko yake. Askofu hatakiwi kutoa siri za muumini wake hata kama huyo muumini amelihama kanisa lake. Hapa niliona kwenye YouTube Gwajima akisema mambo ya siri ya mke wa Dkt. Slaa.
Leo nimeangalia tovuti ya kanisa la Gwajima. Katika hii tovuti ambayo ameandaa yeye mwenyewe nimeona mambo yafuatayo:
References
- Gwajima amezaliwa mwaka 1970
- Amemaliza shule ya msingi mwaka 1985
- Amemaliza shule ya sekondari Olevel mwaka 1993. Alichelewa kumaliza secondary sababu ya maradhi.
- Alimaliza Advanced Diploma in Bible and Theology mwaka 1994 mjini Nairobi Kenya. Hapa ndo pana ufisadi wa elimu. Yaani alisoma stashahada ya juu kwa mwaka mmoja tena baada ya kumaliza olevel. Kwa maoni yangu, huyu alichosoma ni level ya certificate. Matatizo ya Gwajima it yanaanzia hapa.
- Baada ya hiyo Advanced Diploma yake ambayo ni magumashi, alijiunga na chuo kinaiitwa Japan Bible Institute na kusomea Master’s degree in Christian Missions June 2006 mpaka February 2008. Hapa nilitaka kujua ni kwanini hiyo institute ilikubali kumpa admission mwanafunzi ambaye ambaye ana only post secondary study ya mwaka mmoja tu, nikakuta hiyo institute yenyewe nayo ni ya kimagumashi. Hiyo institute haina hata physical address . Ni Chuo cha kwenye mtandao na pia kinatoa degree by experience. Yaani waweza pewa hata degree kwa kuwa una uzoefu. Hii masters degree yake kumbe ni utata mtupu na achilia mbali kwamba hana sifa za kujoin hata kozi ya degree ya kwanza.
- Mwaka 2015 alipewa PhD na chuo cha kidini cha Afrika ya Kusini kinaitwa Omega Global University. Kwenye tovuti ya chuo hiki pana maelezo kwamba kinatoa honorary PhD. Gwajima haoneshi kwenye tovuti yake ni mwaka gani alijoin hiki chuo wala lini alimaliza. Pia, hiyo miaka, Gwajima alishakuwa na kanisa la misukule huko Ubungo na baadae kuhahmia Kawe. Tena ni mwaka ambao alikuwa mshenga wa kumleta Lowassa Chadema na baadaye kututobolea siri ya vyeti vya mkuu wa mkoa aitwaye Bashite. Hivyo basi, PhD hii ni ya heshima.
- Mwisho, kwa maoni yangu, elimu ya Gwajima ambayo haina mashaka kabisa ni ile ya form four mwaka 1993.
Umesema vyema sana.Vyuo vya dini vingi haviko Accredited na serikali sababu ya separation Kati ya dini na serikali. Hivyo sifa za kujiunga ziko tofauti na Hivyo vyuo accredited vya serikali.Sababu serikali hazina dini nyingi Huwezi mpelekea mtu asiye na dini akutengenezee syllabus ya dini hivyo vyuo vingi vya dini vigezo huwa tofauti kabisa.
Ndio Maana waweza mkuta shehe ana PhD ya elimu ya kiislamu lakini alisoma madrasa tu hajawahi kanyaga hata shule ya msingi lakini kasoma madrasa na vyuo vya kiislamu Hadi kufikia ngazi ya PhD.
Kwenye makanisa mengine mfano darasa la Saba aweza Soma vyuo vyao.Diploma na degee bila shida wao elimu wanayojikita nayo Ni ya dini Yao tu Sio mlundikano wa masomo mengi la hasha wanatengeneza msomi w dini yao tu.
Kuhusu PhD ya Gwajima hiyo alipewa na hicho chuo kutokana na kazi yake anayofanya kwenye jamii; walifanya assessment wakaona ni mtu kafanya kazi kubwa kwenye jamii, kaandika vitabu 32 na vimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 20 duniani na vinasomwa nchi tofauti za lugha tofauti na kutumia vyuoni vya dini ndio wakamtunuku hiyo PhD.
Hiyo PhD hicho chuo waliotunukiwa nacho ni pamoja na marehemu Dk Reginald Mengi yeye PhD yake ni ya hicho chuo naye alitunukiwa kwa kazi yake kwenye jamii mwingine Ni Marehemu Dk Getrude Rwakatare pia PhD yake alipewa na hicho chuo.
Hivi mbona wakatoliki hawafuati hivyo vigezo?wanasoma form one mpaka form six halafu diploma ya sychology miaka miwili halafu miaka minne degree na kwa nn hao wengine wapewe tu vyeti vya magumashiVyuo vya dini vingi haviko Accredited na serikali sababu ya separation Kati ya dini na serikali. Hivyo sifa za kujiunga ziko tofauti na Hivyo vyuo accredited vya serikali.Sababu serikali hazina dini nyingi Huwezi mpelekea mtu asiye na dini akutengenezee syllabus ya dini hivyo vyuo vingi vya dini vigezo huwa tofauti kabisa.