Elimu ya juu full vitisho

BG baba

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
42
Reaction score
4
Wanafunzi wa vyuo vikuu tz wamekatazwa kufanya mikutano yao ambayo wamekuwa wakiifanya wanapodai haki zao zinazopuuzwa na serikali ikiwemo kucheleweshewa mikopo yao. Je hii ni halali na haya ndiyo maisha bora kwa kila mtz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…