Elimu ya juu ni michakato mwanzo mwisho!

Joined
Dec 3, 2011
Posts
55
Reaction score
9
jamani kwa wale waliofanikiwa kujiunga na taasisi za elimu ya juu! nadhani mtakubaliana na hoja yangu kwa asilimia mia!!!
 
Inawezekana ameshindwa tu kupanga hoja ila alimaanisha elimu ya chuo sio kukaa darasani tu na kufaulu kwa GPA nzuri bali ni mzingo wa michakato mingi wakati mwingine na uwanaharakati ndani yake. Migomo, virungu, maji ya kuwasha, kukosa boom, kunyimwa mkopo, kumeet deadline ya ku submit assaignmets nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…