Elimu ya juu wakati wa nyerere,,na mikopo ya elimu ya juu,,,,

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
252
Reaction score
20
Wakati wa nyerere,,,watu wengi walinufaika na elimu ya juu,,,watu hao ni viongozi wetu walioko madalakani wakati huu,,toka juu mpaka chini,,,kipindi hicho nchi hii ilikuwa inaendesha uchumi wake kwa kutegemea bidhaa ndogondogo sana,,,kama kilimo,,vyazo vingi vya mapato vilikuwa ni vidogo sana,,,,saiz hawa viongozi wanachimba madini bidhaa nyeti sana,,,tuna Tanzanaiti,,,,dhahabu,,,,kila kitu,,,alafu wanafunzi wanakosa mikopo ya elimu ya juu,,,hivyi ni sawa?kuna viongozi kweli hapa Tanzania wenye machungu na hayo?kwa kuwa wao wapo kwenye nafasi za uongozi,,,wanaweka ubaguzi dhidi ya watu wengine?mim binafsi nimechoka sana na hawa viongozi kwa kweli.yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani!inabidi tuchukue hatua we are tired now,,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…