Nimepata bahati ya kufuatilia matamshi ya General Shimbo katika nyakati tofauti ukianzia lile tamko la wakati wa uchaguzi, na hili la leo kuhusu makazi ya wanajeshi. Kadri ninavyofuatilia matamko yake nimefikia hatua ya kujiuliza kama kweli Kamanda huyu ana chembe ya elimu. Matamko yake yako kama vile yanatolewa na mtu aliyeona milango ya shule kwa mbali sana katika dunia ya leo hii.
Je kuna mwenye kujua upeo wa elimu ya Kamanda Shimbo?