Elimu ya kibongo inapoteza mwelekeo

seloye

Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
29
Reaction score
1
Mwanzo nilikuwa najua idad ya nafas za kaz zinazotolewa na serikal,mashirika binafsi ni chache kulingana na idadi ya watafuta ajira,kumbe siyo sahii kabisa,AJIRA NI NYINGI TATIZO KUBWA NI ELIM TUNAZOZIPATA MAVYUON,HAZITUWEZESHI KUINGIA KWENYE SOKO LA USHINDAN WA AJIRA..ELIMU ZETU ZIKO KWENYE MAKARATASI ZAIDI KULIKO VITENDO ...CHONDECHONDE WAKUU MNAOHUSIKA MITAALA
 
kuna thread humu .. jamaa anadai thesis yake alitoa pesa akaandikiwa... alimaliza mzumbe ... unataraji mtu kama huyu atakuwa na ufanisi kazini..?

wakati mwengine tujilaumu sisi watanzania .. tunapenda vya dezo na tunaendekeza rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…