kwa style hii kamwe elimu ya kibongo haita zalisha wasomi/wataalamu wenye uwezo kufanya kazi aliyo somea kutokana kwamba mwanafunzi anasoma module zaidi ya 11 kwa semister na katika masomo hayo kuna yanayo muhitji kuhudhuria practical, lakini kutokana na wingi wa masomo mwanafunzi anashindwa kutimiza hayo kilicho baki ni kukariri tu ili afaulu mtihani wa mwisho. sasa kwa style hii kweli tupata kile tunachokitarajia?