Kwani requirements za cheo chake zikoje?? Na yeye anazo hizo requirements au la?
Ni vyema tukaacha ad hominem na kwenda kwenye issues, I mean kama zipo.
qualification/requirements za kipolisi anazo za kutosha
Ni muhimu kujua CV ya mtu maana elimu ndiyo inamfanya mtu awe anaweza kuchambua mambo kwa umakini na si kukurupuka kama Kova
qualification/requirements za kipolisi anazo za kutosha
...tehh! tehh!! Shy, huenda Kova aliwaambia warangi wenzie kule kondoa kuwa siku hizi atakuwa anaonekana runingani so watupie majicho yao huko..Maana jamaa akiwa mbele ya camera utadhani zile picha zetu za mnato tulizokuwa tunapiga mwaka 47!Jeshi la polisi si lina wasemaji wake na wameajiriwa wanalipwa mishahara ?
Jamaa inatakiwa atafute mtuy wa kumuandalia maneno ya kuongea kwenye media, maana anaonekana kama anaropoka.
tuwekeeni cv yake
Tanzania tuna mediocre wengi weather wana digrii au Phd(fake).
Kwa sasa watu wanateuliwa kwa elitism na udini.
Badala jeshi la Polisi kudeal na hard criminals sijui kwa nini wanamfuata Jerry!
Hatuna free media,ie independent journalists ambao wanaweza kuandika lolotebila kufuatwa fuatwa.
Hebu fikiria kama Kova anakuwa IGP na Makamba anakuwa Rais, Agness Nyoni aliyeko Afya awe Katibu Mkuu Kiongozi, Waziri wa fedha awe Gavana wetu wa sasa na Waziri mkuu awe Pesambili. Mwanasheria wa serikali awe nani nani yuleeeee mwanasheria aliyehama kutoka CHADEMA kwenda kuwa mawanasheria wa CCM. Kiongozi wa upinzani awe Mtikila. Patakalika mkao gani Tanzania?
Leka
Kaka umefikiria na kuona mbali sana....yule wa wizara ya afya anaitwa Blandina NyoniHebu fikiria kama Kova anakuwa IGP na Makamba anakuwa Rais, Agness Nyoni aliyeko Afya awe Katibu Mkuu Kiongozi, Waziri wa fedha awe Gavana wetu wa sasa na Waziri mkuu awe Pesambili. Mwanasheria wa serikali awe nani nani yuleeeee mwanasheria aliyehama kutoka CHADEMA kwenda kuwa mawanasheria wa CCM. Kiongozi wa upinzani awe Mtikila. Patakalika mkao gani Tanzania?