Elimu ya ku deal na stock kubwa kubwa

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
natafuta elimu ya hii kitu (kwa kisasa).
System zipi hutumika? Kwa aina ya stock kama mafuta,
vinywaji,vyakula nakadhalika.
Sehem gani kwa dar wakati wa jioni?
Na kwa muda mfupi? Na gharama.?
Wapi nitapata kitu kama hiki?
Au hakuna?
Na kwa nini hakuna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…