Wakuu japo elimu zingine sio rasmi bt zimekuwa na manufaa zinapotumika, hii elimu ya kumjua mwenza sahihi nimeikuta pahala nikajaribu ikaleta uhalisia then nikaamua kushare nanyi.
chukua idadi ya herufi za jina lako na mwenza wako kisha jumlisha na 7 kisha gawa kwa 9, ukigawanya hesabu ikaisha hilo ndo jibu mfano:
JESCA+JOSEPH=11+7=18/9=2 kisha utasoma maana ya jibu.
kama hesabu haijaisha ile baki ndo utaisoma jibu. mfano.
MARIAMU+YUSUFU=13+7=20/9=Jibu 2 na kubaki 2, hiyo baki ndo utatumia kusoma maana ya jibu
SOMA MAJIBU
Ikibaki 1=ndoa/mahusiano hayawez dumu
Ikibaki2=ndoa nzur na mtakubalika pande zote
Ikibaki3=ndoa ipo ila itaingiliwa na ndugu na mambo ya kishirikina
Ikibaki4=mapenzi ya furah daima
Ikibaki5=ndoa nzur na mtapata utajir
Ikibaki6=familia isoisha maradhi
Ikibaki7=ndoa ipo na itadumu
Ikibaki8=ndoa mbaya coz mmoja atamuua mwenzake
Ikibaki9=ndoa ipo bt mkae mbali, mkikaa karibu ugomvi ni kila mara
fanyeni hesabu then mlete mrejesho.