Hii ya kuvunja nib za kalamu baada ya hukumu ya kifo ni ujinga tu. Mwenye mamlaka ya kumtoa roho mtu ni Mungu tu, na kama roho ya mtu inathamani sana, basi wasitishe hii adhabu ya kifo.