Noti mpya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa imetambulishwa rasmi. Itatumika katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Sudan ya Kusini, Burundi Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Ethiopia. Inaitwa Sheafra - ni kifupi cha Shilings, East Africa na Franca (Faranga). Kuitambulisha noti ya Sheafra 5 ni ishara kuwa itakuwa na nguvu kuliko pesa (currencies) zote zinazotumia katika nchi zilizo wanachama.