pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Habari za humu ndani wakuu, leo naomba tujadili hili swala kwa upana wake yeyote mwenye mawazo hasi au chanya anaruhusiwa kuchangia katika hili.
Niende sasa kwenye wazo langu hivi Tanzania mpaka sasa bado hatujaamua au kuweza kuandaa watu watakaoweza kuongoza michezo kwa kuandaa mfumo rasmi kabisa kama certificate ya sports management diploma yake na bachelor of science and sports management huko, ili kuweza kuziba gap za makosa yanaonekana na watu wasio na ujuzi au elimu stahiki
Vile vile hata knowledge tu ya kuongoza taasisi za michezo kuvamia tasnia hiyo ni muda wa kubadilika sasa maana hata makocha wetu nao kufanya kazi nje imekuwa mtihani ina idadi ndogo sana bench ya ufundi unakuta wamejaa wageni kama simba hata kwenye management watu wenye elimu ya michezo hakuna basi mtihani mtupu, embu tushirikishane kwenye hili sidhani kama kuna mtanzania mwenye degree sports management au sports science hata diploma sidhani.