Elimu ya mjinga ni Majungu!!

Elimu ya mjinga ni Majungu!!

Deflakonary

Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
47
Reaction score
3
Kuanzia sasa wanajamvi tusitishe kuchangia mada yoyote atakayoitoa huyu kijana anaejiita oil sumu au majina mengine full again na sumu tamu
Anaonyesha dhahili ufinyu wake wa akili na kutoitumia vizuri taaluma yake aliyoipata kidato cha sita
Amekuwa akitafuta umaarufu wa kijinga kwa kupitia majina ya watu kama mpigamsuli.Wengi wenu nimeona mmetoa jitihada nyingi za kumpotezea na kumsahihisha arudi kwenye mstali na nawapa pongezi kwa hilo kina Darius Molembe chatts55 AllenMwita Eshy m.s Baba V Eric zeph stanley, Flammable flyn ryder, na wengne wengi.Kwanini kajitu kadogo kasumbue akiki za watu humu jukwaani na kwanini hadhi ya jukwaa ishuke kisa hakahaka kajamaa.
Tunajua wengi humu tumejiunga kwa maslahi ya Elimu ya Tanzania na watu wengi pia hasa wadogo zetu wa O level na A level pia huchungulia humu kwa japo kujikusanyia machache na mazuri yanayowahusu, sasa vp anakutana na post za oil sumu a.k.a full again ,atachukuliaje? ataona wote tuna akili kama za oil chafu.

Mbona majukwaa mengine yana heshima sana kwanini kila mtu aliseme jukwaa la Elimu kwamba linaelekea kupoteza hadhi? tutafakari mara mbili, naomba hata Mods watusaidie kwa hili.
Dawa ya huyu kijana, no Reply to his topics .

Ignoring him is the biggest cure to his arrogance topics

Nawasilisha.
NB: Mods tafadhari muiache hii topic hapahapa.!!!
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda mkuu we ni GT, ndo dawa ya huyu dogo
Msumbufu sana.
 
Huyu dogo oilsumu jinsia gani?? , kama ni mwanaume basi ni hatari sana manake amekuwa akinitajataja sana najiuliza ni mwanaume au mwanamke?
 
Hiv huyu anatoaga post humu, kwanin asitoe na za huyu oil sumu na ful again,huyu anaearbu jukwaa. Ingekua ndo uwezo wangu ningetoa maoni kua wamtoe humu
 
Msimlaumu saana msomi wa kijiji i mean kijiji kizima ye ndo wakwanza kufika chuo matokeo yalivyotoka akanunuliwa cm mchina clasc ndo anatusumbua saana humu ndan na nina wacwac kama hata dsm anapajua
 
oil sumu amepigwa Ban manaake simuoni humu leo au kajificha.
Kama ni Ban basi akirudi atakuwa amestarabika kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom