Elimu ya msingi na adhabu zake tanzania

Elimu ya msingi na adhabu zake tanzania

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,133
View attachment 12626

Adhabu za dizaini hii zilifanya nikachukia kusoma nakumbuka kulikuwa na baadhi ya walimu walikuwa wanatoa adhabu ya si chini ya viboko 4 ukiwa umeshika masikio, ukimaliza unakwenda kuchoya maji nyumbani kwa mwalimu wa zamu..nadhani hii bado inaaply vijijini hadi leo, kwangu mie ni kikwazo kikubwa sana kwa adhabu za dizaini hii na inashusha sana uelewa wa mwanafunzi coz 78% unakuwa ni mtu wa kuogopa ogopa tu muda wote.
 
Back
Top Bottom