Elimu ya mtazania ipo kwa ajiri ya kukomboa mtanzania

Elimu ya mtazania ipo kwa ajiri ya kukomboa mtanzania

Joined
Oct 15, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Ebu jiulize elimu ni ufunguo wa maisha ila kazi ya ufunguo una funga na kufungua na pia elimu ikiwa mbaya inazalisha vichaa inchini hebu jiulize mimi na wewe kweli elimu inayo tolewa tz inatupeleka wapi kwenye dunia hiii ya technologia
 
kajifunze kuandika kiswahili fasaha kwanza,., halafu rudi tena
 
Back
Top Bottom