N NICHOLAUS BENDIRIBA Member Joined Oct 15, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Oct 16, 2012 #1 Ebu jiulize elimu ni ufunguo wa maisha ila kazi ya ufunguo una funga na kufungua na pia elimu ikiwa mbaya inazalisha vichaa inchini hebu jiulize mimi na wewe kweli elimu inayo tolewa tz inatupeleka wapi kwenye dunia hiii ya technologia
Ebu jiulize elimu ni ufunguo wa maisha ila kazi ya ufunguo una funga na kufungua na pia elimu ikiwa mbaya inazalisha vichaa inchini hebu jiulize mimi na wewe kweli elimu inayo tolewa tz inatupeleka wapi kwenye dunia hiii ya technologia
vanmedy JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,406 Oct 16, 2012 #2 kajifunze kuandika kiswahili fasaha kwanza,., halafu rudi tena