Elimu ya mtazania ipo kwa ajiri ya kukomboa mtanzania?

Joined
Oct 15, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Ebu jiulize elimu ni ufunguo wa maisha ila kazi ya ufunguo una funga na kufungua na pia elimu ikiwa mbaya inazalisha vichaa inchini hebu jiulize mimi na wewe kweli elimu inayo tolewa tz inatupeleka wapi kwenye dunia hiii ya technologia
 
Inatusaidia kuwaangalia wengine wakifaulu maishani sisi tukibaki na vyeti bila kazi wala kianzio cha kujiajiri

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…