Waziri wa elimu dr shukuru kawambwa ameeleza kuwa elimu ya primary na secondary kwa pamoja kuwa elimu ya msingi kwa kila mtanzania na itatolewa kwa mda wa miaka kumi. Source chanel ten Habari,

Nia ikiwa ni nini?
I advice this J4 guy should not be trusted with our education system. He has no track record of hatching excellent ideas. Just a dumb apple.
Waziri wa elimu dr shukuru kawambwa ameeleza kuwa elimu ya primary na secondary kwa pamoja kuwa elimu ya msingi kwa kila mtanzania na itatolewa kwa mda wa miaka kumi. Source chanel ten Habari,
Kama ndio mwakani tu utekelezaji unaanza kuna maandalizi gani ya kina yamefanyika? Au ndio mchezo kama ulofanyika wa kuanzisha utitiri wa shule za sekondari bila maandalizi? Ni mawazo yao kweli hawa wakubwa au kuna pressure fulani ambayo wao wanaisemea 'yes' tu bila kujali mustakabali wa taifa? Tuungane kuwaambia ili wakishupaza shingo tusije kulaumiwa kuwa hatukushauri.