Kinyengeli
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 452
- 143
Habari za jioni wanajamvi,
Mimi ni kijana ambaye nahitaji sana kujiendeleza kielimu . Elimu yangu ni darasa la saba lakini kwaajili ya ujanja ujanja nimefanikiwa kupata kibarua na kampuni fulani huku Migodini kwani nina ujuzi wa ufundi magari, ratiba ya kazi imebana sana napata nafasi ya kupumzika jumapili tu. Siku zingine zote natoka kazini usiku hivyo siwezi kusoma kwa njia za kawaida. Naomba mwenye ushauri au njia za kusoma elimu hiyo kwa njia ya mtandao anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu