Elimu ya qt kwa njia ya mtandao.

Kinyengeli

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
452
Reaction score
143
Habari za jioni wanajamvi,
Mimi ni kijana ambaye nahitaji sana kujiendeleza kielimu . Elimu yangu ni darasa la saba lakini kwaajili ya ujanja ujanja nimefanikiwa kupata kibarua na kampuni fulani huku Migodini kwani nina ujuzi wa ufundi magari, ratiba ya kazi imebana sana napata nafasi ya kupumzika jumapili tu. Siku zingine zote natoka kazini usiku
hivyo siwezi kusoma kwa njia za kawaida. Naomba mwenye ushauri au njia za kusoma elimu hiyo kwa njia ya mtandao anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…