Elimu ya Rais Uhuru

Good Mood

Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
58
Reaction score
119
Habarini wana jamvi la JamiiForums, kuna jambo nahitaji kufahamu. Hivi Rais Uhuru ana elimu gani? Nafahamu kuna wajuaji wengi naweza kupatiwa hata CV yake kikamilifu.
 
Kwel nimepata mwanga na kuweza kumfahamu Rais Uhuru na utajiri alio nao zaid ya $500million na anamiliki ardhi safi ya kilimo zaidi ya asilimia 8.6 (500,000) ya jumla ya arable land yote kenya ambayo ni hekari 5,800,000. Huyu ni mtu tajiri sana wala mshahara wa urais hauna maana kwake. Nimepata mwanga naendelea na ukusanyaji wa data kabla sijaja na hoja kamili
 
Nimetafuta Phd thesis ya Magu online hadi nimechoka. Hata hana any published academic paper online.
Magu ana akili sana, alifanikiwa kusoma PhD ya Chemistry Chuo Kikuu cha Dar es saalam, one of the most difficult pure science field akiwa ni waziri. Huyu jamaa ana bidii na determination za ajabu sana.
 
Evidence?
 
Nimetafuta Phd thesis ya Magu online hadi nimechoka. Hata hana any published academic paper online.
Nenda udsm library utaikuta. Amesoka ili kuongoza vizuri siyo kutafta ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…