Elimu ya Tanzania haina umhimu

junior mzolo

Senior Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
140
Reaction score
7
Hivi kweli elimu yetu inaenda wapi na lbda inategemea nini kwa kutoa matokeo mapema ya kidato cha nne na kuchelewesha selection, ,,,,mi naona haya ndo matokeo ya division five ndo maana wameshindwa hata kufanya mchanganuo katika kupanga selection
 
still ina ka umuhimu,,,,sema muda unabana wanapochelewa kutoa selection kutokana na hali halisi ya maisha ya mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…