0768404968
New Member
- Aug 27, 2022
- 3
- 0
Taasisi ya Elimu nchini Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inatakiwa ifanye maboresho hususani katika mitaala ya elimu, kuanzia ngazi za msingi mpaka ngazi za vyuo vikuu. Mitaala ya elimu inapaswa kuhusisha ufundishaji na ujifunzaji kwa vitendo na siyo kwa nadharia tu.
Mfano, mwanafunzi anaposoma masuala ya uvuvi basi achukuliwe na kupelekwa sehemu husika Ili akajionee kwa macho pamoja na kushiriki kuvua kwa vitendo, anapofundishwa uchimbaji wa madini achukuliwe na kupelekwa migodini Ili akashiriki kukifanya Ile kazi kwa vitendo, pamoja na kazi nyingine kama hizo. Asilimia kubwa sana hapa nchini, ni taasisi chache sana zinazozingatia hayo na au hakuna kabisa na au la sivyo wanatumia mtaala wa nchi za nje ambao ni watu wachache sana wanaoweza kukidhi, lakini asilimia kubwa ya watanzania hawawezi kukidhi kwa sababu ya Hali ya kiuchumi.
Ni Rai yangu kwa Serikali kwa kushirikiana na mashirika au taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali, kuangalia namna ya kuboresha mitaala Ili kuweza kumsaidia mwanafunzi kujijengea uwezo wa kufanya shughuli yoyote awapo nyumbani hasa kwa maisha ya baada ya kumaliza masomo yake. Imekuwa ni changamoto kubwa sana kwetu na hata Mimi imenikumba, kwamba baada ya kumaliza masomo yangu ya elimu ya chuo nimekaa nyumbani kwa kusubiria ajira kutoka Serikalini ambavyo sijui itakuja au haiji.
Wakati huo Serikali ingefanya mpango WA kianza kunipa ujuzi Fulani angalia Niko shuleni nisingeweza kuhangaika kwani ule ujuzi ungeweza kunisaidia sana na huenda nisingekuwa na hamu ya ajira.
Watu wanaoumia sana ni watu walio na kipato Cha chini na au hawana kipato kabisa, endapo Serikali ingefanya mpango huu WA kufundisha kwa vitendo, hata mtu Alie na kipato Cha chini anepata chochote na angefurahi na kifarijika. Serikali miangalie hili kwa jicho la pili, wananchi tunaumua tusiokua na kipato.
Ukitamani kumpeleka mtoto katika Shule za vipaji unakuta Haina Chochote. Kwa Nini hivyo vipaji visianzishwe katika mazingira yote nchini Ili angalau Kila mtu akafaidika navyo? Inaumiza sana. Pelekeni vifaa mashuleni Ili watoto wajifunze kwa vitendo, mtamkomboa hata yule wa mwisho.
Sambamba na hilo, Serikali itambue vipaumbele vya wanafunzi Lindi wawapo shuleni, hii ni kwa kushirikiana na wazazi, walimu au wakufunzi Ili kuongea na kuibua vipaji vilivyofichika. Mfano, endapo mtoto anapendelea kuwa daktari, mwalimu, rubani, mpishi na mengineyo, basi afundishwe hicho maana ndicho kipaumbele chake, na siyo kulazimisha fani.
Mtoto anapenda kuwa rubani anapelekwa udaktari, hii haileti tija, ingawa ni kazi antafanya lakini kilikuwa siyo kipaumbele chake.Tafadhari mliangalie hio pia.
Kitu kingine ninachokiona katika swala hili la Elimu, ni kukosa wajuzi na wadau mbalimbali wanaoweza kufanya au kufundisha kwa vitendo. Ukuzingatia watumishiasilimia kubwa nao wamepitia eilimu hiyohiyo isiyo ya vitendo, kwa hiyo inakuwa vigumu sana kufanya kazi kwa ufasaha. Endapo Serikali na taasisi ya Elimu wataliona hili basi waongeze watu wenye ujuzi mbalimbali Ili kuzalisha bidhaa Bora. Mwanafunzi atakapomaliza mafunzo yake anakuwa na uwezo wa kufanya pamoja na kumfundisha mtu mwingine. Na pia ndipo kutakuwepo wajuzi mbalimbali watakaoajiliwa na kujiajili wenyewe.
Karibu kunipigia kura Ili tusinge mbele kwa pamoja.

Upvote
0