πanda:πanda:πanda:Jamani, nilibahatika kuwa external examiner wa chuo kimoja cha biashara (CBE), hapa TZ hivi karibuni. Wakati napitia baadhi ya paper za wanachuo, nilishangaa sana kwa kweli, unakuta mtu ameandika essay hata haieleweki, unaweza kusoma paragraph tatu hakuna chochote kinachoendana na swali!!!!!!!!! Sasa watu kama hawa walifaulije form four na six? Je elimu yetu tunaipeleka wapi wadau?πanda:πanda:πanda:πanda:
Yaani juzi jamaa alinipa proposal yake ya Masters nimuangalizie (ameshapata admission na anasoma!!! na mwalimu alishaipitisha kwamba inafaa)..kwa kweli I can only say one word: TRAGIC! Sijui hawa wanafunzi wanafaulu vipi degree zao? Jamani I am sorry to say lakini something is wrong, very wrong with our education system! Hata kama ni lugha mbovu, lakini unakuta mwanafunzi anaandika page nzima bila kuwa na point hata moja. Kipi kifanyike jamani? Hili ni janga la taifa!
apart from our education system..,the competency and intergrity of our lecturers /examiners are highly questionable....they are the ones who contributes to this rotten system..thats a fact.:angry: