Elimu ya Tanzania ni tete

Elimu ya Tanzania ni tete

Geki 75

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Kiukwel 2nakoelekea watanzania sio na 2cpokuwa makin 2takuwa 2nazalisha jamii ya wa2 wajinga mana matokeo ya form 4 kurudiwa kuchunguzwa tena kuna uwezekano wa baraza kufanya hujuma ya kuongeza idad kubwa ya waliofaulu kwa lengo la kujipatia cfa kubwa sana. So watanzania yatupasa kuwa makin sana
 
Back
Top Bottom