N Nyangwa Member Joined Apr 20, 2012 Posts 6 Reaction score 1 Apr 22, 2012 #1 wachache wanafaulu na wengi wanafeli ila akuna malengo yeyote yamana kuokoa hii elimu yani hata kwenye vyuo akuna wakufunzi wakutosha je elimu yetu tunaipeleka wapi jamani?
wachache wanafaulu na wengi wanafeli ila akuna malengo yeyote yamana kuokoa hii elimu yani hata kwenye vyuo akuna wakufunzi wakutosha je elimu yetu tunaipeleka wapi jamani?