elimu ya tanzania

naekuu

New Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
1
Reaction score
0
je ni kweli elimu yetu haitujengei mazingira ya kujiajiri zaidi ya kutegemea kuwezeshwa je n kweli wadau na wakereketwa wa elimu
 
je ni kweli elimu yetu haitujengei mazingira ya kujiajiri zaidi ya kutegemea kuwezeshwa je n kweli wadau na wakereketwa wa elimu

Vyuo na taasisi zote za elimu hususani ya juu kwa Tanganyika na Zanzibar vinazalisha
Job seekers na sio Job creators
 
Maana ya elimu ikieleweka utapata majib sahihi. Waliojiajiri mitaani wamepata elimu ya ujasiriamali kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…